Go to full page →

Sura ya 13—Wokovu PLK 125

Katika sura hii na zile zinazofuata, mwandishi anaandika kuhusu mambo ambayo bado yako katika siku za mbele, lakini mara nyingi ameyaeleza kwa kutumia wakati uliopita, kama vile shahidi aliyeona kwa macho anavyosimulia matukio aliyoyaona. PLK 125.1