Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Kutayarisha Njia - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Haifai Lugha Yetu ya Asili Kudharauliwa

    Katika kila sehemu ya mafundisho yako mambo ambayo yapasa kuonekana kuwa ni yenye faida zaidi ya yale yapatikanayo kwa elimu ya ufundi mtupu. Mathalan, mtu kuweza kuandika na kusema lugha ya kwao kwa urahisi na ufasaha ni jambo la maana zaidi ya elimu ya lugha za kigeni, zinazotumika au zile zilizokwisha kufa; lakini, hakuna elimu inayopatikana kwa njia ya sarufi iwezayo kulinganishwa thamani yake na mafundisho ya lugha kama ubora wake uonekanavyo. Hali njema ama hali nyonge kabisa hufungamana sana na mafundisho hayo. 39ED.234 ;KN 238.6

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents