Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Kutayarisha Njia - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Sura Ya 22 - Maisha ya Ndoa

    WALE wanaoihesabu ndoa kama mojawapo ya maagizo matakatifu ya Mungu, yaliyohifadhiwa kwa mafundisho yake matakatifu, watatwahwa na maonyo ya akili ya moyoni. Yesu hakushurutisha watu wa jamii yo yote kukaa bila kuoa ama kuolewa. Hakuja ili kutangua ndoa takatifu, bali kuitukuza na kuirudishia usafi wake iliokuwa nayo mwanzoni. Anapendezwa kuona uhusiano wa watu nyumbani penye upendo mtakatifu na moyo wa ukarimu kuwa na nguvu.KN 152.1

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents