Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Utangulizi

  Dunia yetu hii ilifikiaje hali ya kuvurugika vibaya kiasi hiki? Kwa nini kuna mateso? Uovu ulitoka wapi? Je upo wakati ambapo hali hii itakoma?PLK 4.1

  Maswali kama haya yanawasumbua watu wengi sana wenye kufikiri. Sayansi haina majibu kwayo, na falsafa ina majibu mengi yanayopingana. Ni wapi tunaweza kupata ukweli?PLK 4.2

  Maudhui yaliyomo ndani ya kitabu hiki yamechaguliwa na kutoholewa kutoka katika kitabu kikubwa zaidi, yaani Kisa cha Ukombozi. Mwandishi Ellen G. White, alijumuishwa miongoni mwa Wamarekani 100 wa pekee sana katika nyakati zote na gazeti la Smithsonian katika toleo maalumu (Majira ya Kuchipua 2015). Vitabu vyake zimetafsiriwa katika lugha mbalimbali zaidi ya 160, zaidi ya vitabu vya mwanamke yeyote popote pale. Mamilioni ya watu wamenufaika na utambuzi wake pamoja na maneno yake ya kutia shime.PLK 4.3

  Pendo Lisilo Kifani ni fursa kwako kuweza kufanya hivyo pia.PLK 4.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents