Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tumaini la Vizazi Vyote - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Upendo katika mambo yote

    Yesu alijua kitakachotokea kwa maneno yake. Aliona kuwa maumivu yake katika Gethsemane, kuteseka kwake na kusulibiwa, mambo hayo yatawaumiza mno wanafunzi wake. Kama mambo magumu ya kujaribu, yasingalitokea, watu wengi wanaotukuza ubinafsi wangaliungana nao. Wakati Bwana angeteswa wengi waliokuwa wakimtukuza wangetiririka na kwenda zao, wakati makutano wangalisema “Msulibishe, msulubishem watu hawa wangalichomoka na kwenda zao. Mfano wa wale waliomwacha lazima wamekumba na wengine pamoja nao. Lakini Yesu aliwafariji kwa wale waliosima imara kwake.TVV 218.5

    Mwokozi mwenye fadhili, ambaye akijua mambo yanayomngoja, bado analainisha njia ya wanafunzi wake, akiwaandaa kwa mtihani mzito ujao, na kuwatayarisha kwa majaribu ya mwisho.TVV 218.6

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents