Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tumaini la Vizazi Vyote - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Kielelezo cha Yesu cha kuepuka kutokuelewana

    Yesu alifahamu ya kuwa dhoruba ilikuwa ikijikusanya itakayomfurikia nabii mkuu, ambaye hajatokea kama yeye ulimwenguni. Yesu alitaka kuepukana na fujo ya namna hiyo, aliondoka akaenda Galilaya. Hata sisi pia tunapoishika kweli kabisa, yatupasa tuepuke hali yoyote iletayo machafuko. Mahali popote hali ya mambo inapoelekea kuleta mtengano kati yetu, lazima tufuate kielelezo cha Yesu na Yohana Mbatizaji.TVV 95.6

    Yohana alikuwa ameitwa awe mtengenezaji wa mambo yaliyoharibika. Lakini kazi yake haikutosha kuweka msingi wa kanisa la Kikristo. Kazi nyingine zaidi ilipaswa kutendwa; ambayo itazidi ushuhuda wa Yohana. Wanafunzi wake hawafahamu hili. Walipomwona Kristo akifanya kazi pia, Waliona wivu.TVV 96.1

    Hatari ya aina ile ile ipo hata leo. Mungu humwita mtu afanye kazi fulani. Anapoiendesha kwa kadri ya ujuzi wake, Bwana huleta wengine ili kuiendeleza zaidi. Lakin wengi hujisikia kuwa mafanikio ya kazi ni juu ya yule wa kwanza. Wivu hutokea, na kazi ya Mungu hutiwa madoa. Mtu yule anayepewa sifa zisizompasa, huanza kujidhania kufaa. Watu humtegemea mtu bila kumtegemea Mungu.TVV 96.2

    Wana heri wanaojinyenyekeza, bila kuwa na ubinafsi, wakisema kama Yohana: “Lizima azidi, na mimi nipungue.”TVV 96.3

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents