Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tangu Sasa Hata Milele - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Binadamu Anakataa Nuru

    Giza ya kiroho inafika, si kwa sababu ya kuondolewa kwa neema ya kumungu kwa upande wa Mungu bila sababu, bali ni kwa upande wa binadamu aliyekataa nuru. Wayahudi, kwa kupenda dunia na kumsahau Mungu, walikuwa katika ujinga juu ya kuja kwa Masiya. Katika kutoamini kwao wakamkataa Mkombozi. Mungu hakukatia mbali taifa la Wayahudi kwa mibaraka ya wokovu. Wale waliokataa kweli waliweka “giza kwa nuru, na nuru kwa giza.” Isaya 5:20.TSHM 181.1

    Baada ya kukataa kwao kwa habari njema Wayahudi wakaendelea kushika kanuni zao za zamani, wakati ambapo walikubali kwamba Mungu kakuwa tena kati yao. Unabii wa Danieli ulionyesha kwa wazi wakati wa kuja kwa Masiya na kutabiri vilevile kifo chake. Kwa hivyo walitia mashaka majifunzo yake, na mwishowe wa rabbis wakatangaza laana kwa wote wangejaribu kukadirisha wakati. Katika upofu na ugumu wa moyo Waisraeli wakati wa karne zilizofuatana wakasimama, bilakujali zawadi za neema ya wokovu, bila akili ya mibaraka ya habari njema, maonyo nzito na la kutisha kwa ajili ya hatari ya kukataa nuru kutoka mbinguni.TSHM 181.2

    Yeye anayezuia hakikisho lamapashwa yake kwa sababu yanapingana na tamaa zake mwishowe atapoteza uwezo wa kuchagua kati ya ukweli na kosa. Roho hutengana na Mungu. Mahali ukweli wa Mungu unakataliwa kwa zarau, kanisa litakuwa katika giza, imani na upendo vitapunguka, na fitina huingia. Washiriki wa kanisa hutia nguvu zao katika mambo ya kidunia, na wenye zambi hugeuka kuwa wagumu katika ugumu wa moyo wao.TSHM 181.3

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents