Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tangu Sasa Hata Milele - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Mvua Ya Mwisho Na Kilio Cha Nguvu

  Malaika anayeungana na malaika wa tatu ni kwa kuangazia dunia yote na utukufu wake. Ujumbe wa malaika wa kwanza ulipelekwa kwa makao yote ya utumishi ulimwenguni, na katika inchi zingine kulikuwa na usikizi wa dini kubwa sasa ulioshuhudiwa tangu wakati wa matengenezo. Lakini hizi zinapashwa kupita kwa onyo la mwisho la malaika wa tatu.TSHM 298.1

  Kazi itakuwa ya namna moja na ile ya Siku ya Pentecote. “Mvua ya kwanza” ilitolewa kwa kufungua wa habari njema kuwezesha kuotesha mbegu ya damani; vivyo hivyo “mvua ya mwisho” itatolewa kwa mwisho wake wa kuivya kwa mavuno. Hosea 6:3; Yoeli 2:23. Kazi kubwa ya habari njema si ya kufunga na onyesho ndogo zaidi la uwezo wa Mungu kuliko kutazama mwanzo wake. Unabii uliotimia katika kumiminiwa kwa mvua ya kwanza kwa kufungua kwa habari njema yanapashwa kutimia vile vile katika mvua ya mwisho wake. Hapo ndipo panakuwa “nyakati za ufufuko” ambazo mtume Petro alikuwa akitazamia mbele. Matendo 3:19, 20.TSHM 298.2

  Watumishi wa Mungu, nyuso zao kungaa na utakaso mtakatifu, wataharikisha toka mahali mbali mbali kutangaza habari njema kutoka mbinguni. Miujiza itafanyika, wagonjwa wataponyeshwa. Shetani vivyo hivyo anatumika na maajabu ya kudanganya, hata kushusha moto kutoka mbinguni. Ufunuo 13:13. Kwa hivyo wakaaji wa dunia watashawishiwa kuchagua upandeunao kuwa wao.TSHM 298.3

  Ujumbe huu utachukuliwa si kwa mabishano sana ni kwa tendo lauhakikisho wa ndani wa Roho ya Mungu. Mabishano yameonyeshwa, vitabu vilitumia mvuto wavyo, lakini wengi wamezuiwa kwa kufahamu kabisa ukweli. Sasa ukweli umeonekana wazi kabisa. Mahusiano ya ujamaa, mahusiano ya kanisa ni zaifu kudumu kuwa waana waaminifu wa Mungu sasa. Lakini wajumbe waliochanganyika kupinga ukweli, hesabu kubwa huchukua kituo chao kwa upande wa Bwana.TSHM 298.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents