Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tangu Sasa Hata Milele - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  SABABU GANI INAKUPASA KUSOMA KITABU HIKI

  Kwa mamilioni ya watu, maisha huonekana kuwa bila maana na upuuzi. Elimu maarifa ya ufundi, hata hekima na elimu ya tabia na sifa za Mungu na dini, yameeleza wanadamu kama viumbe vya bahati tu. Lakini kwa kujua ama sivyo, wanaume na wanawake huona vigumu kukubali kuishi bila kusudi. Jeuri, kutokukubali na uasi, upimaji wa dawa ya sumu-vitu hivi ndivyo katika makazi mengi, yanayokuwa masemi ya upumbavu ya watu wenye kushindana na maangamizi yao ya kutofisha. Kama watoto waliowekwa mahali pa kuachana achana wakati wa vita wanapolia wanapokuwapekee yao, bila tumaini. Mimi ni nani? Wanani walikuwa wazazi wangu? Namna gani naweza kuwapata?TSHM i.1

  Wengi hugeukia elimu kwa kupata majibu, kwa kulinganisha madarubini ya radio zetu ndani kwa pigo la moyo la nyota, kama kuuliza, je kunakuwa mtu ye yote anayenijua? Nani anilindaye? Lakini elimu haina jibu. Elimu imewekwa kwa kuuliza maswali: chembe kilifanywa namna gani? Namna gani linawezakupasuliwa? Roho zetu hutumika namna gani? Namna gani ulimwengu ama vitu vyote vilifanyika?TSHM i.2

  Haiwezi (elimu) kumwambia sababu gani chembe linakuwako, sababu gani wanadamu wanakuwako, sababu gani ulimwengu unakuwako kabisa kabisa. Hata vile haitaweza kujibu maswali hayo ya namna ya pekee yanayohusu watu wenye kufikiri:TSHM i.3

  Ikiwa kunakuwa na maana na haki katika ulimwengu, sababu gani mwenye asiyekuwa na hatia huteseka pamoja na mwenye hatia?TSHM i.4

  Je, kunakuwa uzima baada ya mauti? Je, nafsi ya mwanadamu huendelea kuishi? Je, makanisa ya Kikristo ya siku hizi husema kweli kwa ajili ya Mungu? Kweli ni nini?TSHM i.5

  Ni nini wakati ujao wa dunia? Je, itaishia kwa kulialia kama mtoto anayeteseka kwa ajili ya pumzi ya mwisho katika hewa iliyochafuka, ao juu ya mshindo wa jehanum ya chembe usiozuiwa kutoka kwa tunda dogo jekundu la Ulaya la vitu vya mviringo chini vilivyochongoka juu vya pua ICBM? Ao wanadamu-ambao katika historia iliyoandikwa hawakuonyesha kamwe uwezo wa kutawala choyo wala kujipenda wao wenyewe kwa msingi-kwa gafula hufaulu kwa kufukuza ubaya, vita, umaskini na hata kifo?TSHM i.6

  Kitabu hiki kinatoa majibu, na yanatumainisha. Maisha yanakuwa na maana! Hatupo peke yetu katika ulimwengu. Mtu mmoja mahali fulani hujali! fulani, kwa kweli, aliyejiingiza mwenyewe katika historia ya binadamu, aliyejiunga mwenyewe na taifa letu, ili tuweze kupita kwa njia yake na yeye kwetu; Mtu fulani ambaye mkono wake wa nguvu umekuwa juu ya sayari hii na atakayeiongoza irudi kwa amani--nabila kukawia.TSHM ii.1

  Lakini miaka nyingi iliyopita kiumbe kimoja cha mambo ya ulimwengu kilichoshawishiwa kilijitahidi kutwaa uongozi wa dunia yetu na kupinga shauri la Mungu kwa furaha ya jamaa lake dunia. Katika usemi wa kueleza vizuri-kwa kweli, maelfu iliyozidishwa wameiita msemo uliopewa uongozi wa Mungu-mwandishi wa kitabu hiki hupasua pazia kwa maelezo hafifu yasiyojulikana na yaliyotolewa kwa woga maarifa ya nguvu hii lakini mtu asiyeonekana ambaye mkono wake umenyooka kushika mamlaka ya dunia yetu. Kwa mahali ya kibinadamu watawala wakishenzi na makanisa ya dini pia wamehatarishwa kama sehemu zenye hatia katika mapatano ya shauri.TSHM ii.2

  Ila tu kwa miaka ya uhuru wa dini ndipo kitabu hiki kiliweza kuchapiwa na kutangazwa zaidi, kwani hukata kwa shida sana katikati ya mojawapo ya makao mengi yanayokuwa na uwezo kuliko, ya siku zetu. Kinasema sababu gani Matengenezo yanahitajiwa, na kwa sababu gani yalisimamishwa; historia ya huzuni ya makanisa ya uasi, ya muungano wa mapatano ya kutesa, wa mapatano ya kizushi ya kanisa na serkali ile itakayotenda sehemu yake ya aibu kabla vita kuu kati ya ubaya na wema kumalizika. Na katika vita hii kila mtu anakuwa mshiriki.TSHM ii.3

  Hapa mwandishi ameandika habari ya vitu ambavyo havikuwako katika siku zake. Ameandika kwa uaminifu juu ya machafuko na vya kuhofisha. Matokeo ya vita ni makubwa sana na miti ya kufungia watu wa kuchomwa moto ni mirefu sana ambayo mtu fulani alipashwa kusema maneno haya ya maonyo na kuyaweka kwa muangaza.TSHM ii.4

  Hakuna msomaji anayegeuza kurasa za kitabu hiki atakaye kiweka chini bila kushang’aa kama ilikuwa zaidi ya bahati iliyomwongoza kwa kukivumbua.TSHM ii.5

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents