Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tangu Sasa Hata Milele - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Bwana Anahamakia Shetani

  Na kwa mushitaki anasema: “Bwana akuhamakie, Ee Shetani. Ndiyo Bwana aliyechagua Yerusalema, akuhamakie. Hiki si kinga kilichoondoshwa katika moto?” Zekaria 3:2. Kristo atavika waaminifu wake kwa haki yake mwenyewe, ili aweze kuwaonyesha kwa Baba yake “kanisa la utukufu, pasipo alama wala kikunjo wala kitu cho chote kama hivi.” Waefeso 5:27.TSHM 235.3

  Ndivyo itakavyotimilika utimilizo kamili wa ahadi ya maagano mapya: “Maana nitasamehe uovu wao, wala zambi yao sitakumbuka tena.” “Katika siku zile na wakati ule, anasema Bwana, uovu wa Israeli utatafutikana, wala uovu hapana; na zambi za Yuda zitafutikana, wala hazitaonekana.” “Na itakuwa, yeye aliyeachwa katika Sayuni, na yeye aliyebaki ndani ya Yerusalema, ataitwa mtakatifu, kila mmoja aliyeandikwa katika wale walio hai ndani ya Yerusalema.” Yeremia 31:34; 50:20; Isaya 4:3.TSHM 235.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents