Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tangu Sasa Hata Milele - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Mfano Wa Kushangaza

  Wakati walipozarau kwa siri kuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo juu ya sheria ya Mungu, walikuwa wa kali kwa inje katika kushika amri zake, kuzilemeza kwa masharti yanayofanya utii kuwa mzito. Kama vile Wayuda walivyojidai kuheshimu sheria, vivyo hivyo watu wa kanisa la Roma wanajidai kwa heshima ya msalaba.TSHM 277.2

  Wanaweka misalaba kwa makanisa yao, mazabahu yao, na mavazi yao. Po pote alama ya msalaba kwa inje inaheshimiwa na kutukuzwa. Lakini mafundisho ya Kristo yanazikwa chini ya desturi za uongo na malipizi makali. Roho aminifu zinalindwa katika woga wa hasira ya Mungu aliyechukizwa, wakati wakuu wa kanisa wengi wanaishi katika anasa na tamaa ya mwili.TSHM 277.3

  Ni juhudi ya daima ya Shetani kusingizia tabia ya Mungu, asili ya zambi, na matokeo kwenye mti wa kuchoma wafia dini katika vita kuu. Madanganyo yake yanatoa watu ruhusa kwa zambi. Kwa wakati ule ule anaanzisha mawazo ya uwongo juu ya Mungu ili wamwangalie kwa hofo na chuki kuliko kwa upendo. Kwa njia ya mawazo yaliyopotoshwa juu ya tabia za Mungu, mataifa ya kishenzi waliongozwa kuamini kafara za kibinadamu kuwa za lazima kwakupata mapendo ya Mungu. Mambo makali ya kuogopesha yametendwa chini ya mifano mbalimbali ya ibada ya sanamu.TSHM 277.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents