Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tangu Sasa Hata Milele - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Onyo la Malaika wa Tatu

    Hofu ya kutisha zaidi iliyoambiwa daima kwa wanadamu inakuwa katika ujumbe wa malaika wa tatu. Watu hawapaswi kuachwa gizani juu ya jambo hili la maana; onyo linapaswa kutolewa kwa ulimwengu kabla ya kuzuriwa kwa hukumu ya Mungu, ili wote waweze kuwa na bahati ya kuziepuka. Malaika wa kwanza anafanya tangazo lake kwa “kila taifa, na kabila, na lugha, na jamaa.” Onyo la malaika wa tatu ni la kuenea sana, linatangazwa kwa sauti kubwa na litaagiza uangalifu wa ulimwengu.TSHM 217.5

    Wote watajitenga kwa makundi makubwa mawili--wale wanaoshika amri za Mungu na imani ya Yesu, na wale wanaomwabudu mnyama na sanamu yake na wanapokea chapa yake. Kanisa na Serkali itaungana kushurutisha “wote” kwa kupokea “chapa cha mnyama,” kwani watu wa Mungu hawataipokea. Nabii anatazama “wale walioshinda yule nyama na sanamu yake, na hesabu ya jina lake, wamesimama kando ya bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu.” Ufunuo 15:2.TSHM 218.1

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents