Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tangu Sasa Hata Milele - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Mungu Anatumia Frederic wa Saxe

  Jicho la uangalifu lilifuata mwendo wa Luther, na moyo wa kweli na bora ulikusudia kwa kumwokoa. Mungu ukamtolea Frederic wa Saxe mpango kwa ajili ya ulinzi wa Mtengenezaji. Kwa safari ya kurudi nyumbani Luther akatengana na wafuasi wake na kwa haraka akapelekwa kwa njia ya mwitu kwa jumba la Wartburg, ngome ya ukiwa juu ya mlima. Maficho yake yalifanywa na fumbo ambalo hata Frederic mwenyewe hakujua mahalialipopelekwa. Ujinga huu ulikuwa na kusudi; hivi mchaguzi hakujua kitu, hangeweza kufunua kitu. Akatoshelewa kwamba Mtengenezaji alikuwa salama, akatulia.TSHM 77.1

  Mvua wa nyuma, wakati wajua kali, na wakati wa masika ukapita, na wakati wa baridi ukafika, na Luther aliendelea kuwa mfungwa. Aleander na wafuasi wake wakafurahi. Nuru ya injili ikaonekana karibu kukomeshwa. Lakini nuru ya Mtengenezaji ilipaswa kuendelea kuangaza kwa nguvu zaidi.TSHM 77.2

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents