Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents
Tangu Sasa Hata Milele - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Maumivu Makuu ambao Mungu Atalaumiwa

  Kwani maumivu ambayo watu wa Mungu wanateseka nayo si hofu ya mateso. Wanaogopa ya kwamba katika kosa fulani ndani yao wenyewe watashindwa kupata utimilifu wa ahadi ya Mwokozi: “Mimi nitakulinda, utoke katika saa ya kujaribiwa iliyo tayari kufikia dunia yote”. Ufunuo 3:10. Je, wangeonekana kuthibitishwa kuwa wasiostahili kwa sababu ya makosa yao wenyewe ya tabia, ndipo jina takatifu la Mungu lingelaumiwa.TSHM 301.4

  Wanaonyesha kwa toba yao ya wakati uliopita wa zambi zao nyingi na kuomba ahadi ya mwokozi: “Ao ashike nguvu zangu, afanye salama nami; Ndiyo afanye salama nami”. Ysaya 27:5. Ijapo kuteseka kwa mashaka na msiba, hawaachi maombezi yao. Wanaweka mshiko wa Mungu kama Yakobo alivyoweka mshiko wa Malaika; na msemo wa roho zao ni “Sitakuacha kwenda, kama haunibariki.”TSHM 301.5

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents